Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,597
- 22,338
Je mzigo unatoka nchi gani?God knows umeandika kuhusu kuagiza kwa 650,000/=, nimekuwa nikijaribu kuwatafuta watu wanaoweza kunifikishia hii kitu hapa bongo bila mafanikio.
Nataka kujua kama unaweza kusaidia jinsi ya kufanikisha hili swala mkuu.
Ninaweza kukufikishia nchini.
Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa