Upendo ni nini?

Upendo ni nini?

Buntungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
549
Reaction score
310
Habari za jioni wakuu.

Poleni na kazi za ujenzi wa taifa letu,kunajambo limenisumbua mda mrefu sana nimeona leo nililete hapa jukwaani niweze kupata msaada wenu jambo lenywewe ni upendo ni nini na ukimpenda inakuwaje.
 
Kama Umelelewa Na Wazaz Wako Wote, Unavyojickia Kwa Mama Yako Au Baba Hlo Ndo Jibu, Ukitaka Tofaut Ya Upendo, Kama Una Mpenz Mme Au Mke Unavyofil Kwake Hlo Ndo Jibu.
 
Kama Umelelewa Na Wazaz Wako Wote, Unavyojickia Kwa Mama Yako Au Baba Hlo Ndo Jibu, Ukitaka Tofaut Ya Upendo, Kama Una Mpenz Mme Au Mke Unavyofil Kwake Hlo Ndo Jibu.

Mmh naanza kuelewa
 
kwani wee ni bikira wa ke/me?
 
Una umri gani????
una dini????
Upendo ni hali ya kumchukia mtu, yaani unakuwa hutaki hata kumuona, na ukimpenda mtu hapo uwezekano wa ngumi kila siku utakuwa ni mkubwa sana.
 
Una umri gani????
una dini????
Upendo ni hali ya kumchukia mtu, yaani unakuwa hutaki hata kumuona, na ukimpenda mtu hapo uwezekano wa ngumi kila siku utakuwa ni mkubwa sana.

Mkristo
Mkuuu jibulako matata sana,nimejifunza kitu hapa
 
Upendo ni jambo la kufikirika.
Piga picha hakuna binadamu wala mungu
Hapo ndo Utapata maana ya Upendo.
 
Habari za jioni wakuu.

Poleni na kazi za ujenzi wa taifa letu,kunajambo limenisumbua mda mrefu sana nimeona leo nililete hapa jukwaani niweze kupata msaada wenu jambo lenywewe ni upendo ni nini na ukimpenda inakuwaje.

Upendo ni hali ya kujawa na furaha kutokana na furaha ya mwingine.

namna ya kujua kama unampenda ni pale utapokuwa unajisikia raha ukimuona akiwa na furaha
 
upendo ni neno la kiswahili lenye maana ya matakwa ya moyo
 
Upendo ni uroho wa kutamani kitu kikurizishe nafsi yako, waweza penda kuwa mwongo, mbeya, waweza kutamani kuolewa na jamaa katili , waweza penda kuona mtu analia kwa uchungu, waweza penda pili pili kali sana unazila huku unawashwa.
 
Back
Top Bottom