Upendo ni nin? (What's love)

Bibi shamba

Member
Aug 31, 2020
44
73
Love is not a feeling

Feelings change zinamove kama mawimbi ya bahari sometimes zinakua high sometimes zinakua low. But love as love is a contract. It'scommitment

Love is nature
Anaweza akawa mshenzi lakini ndo unaempenda love does not count it keeps no record of evil. Hisia hazihusian kabisa na upendo, upendo ni asili ya ndani

Ongeza yakwako
 
1 Korintho
Mlango 13
1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.​
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.​
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.​
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;​
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;​
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;​
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.​
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.​
9 Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu;​
10 lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.​
 
Upendo wa wanadamu ni Kama siasa tu, mchezo mchafu.
Unayempeda zaidi ndiye atakaye kuumiza zaidi
Upendo wa Mungu kwetu ni wa kweli na halisi, hauna mfanowe.
Lakin siku zote wote wakiwa weusi sio mbaya ukawa mweupe hatuitaji kua kama wengine u can be a start point and a change binadam tunaweza pendana but tatizo tunachanya hisia na upendo but niamin mim upendo wa kweli upo
 
1 Korintho
Mlango 13
1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
9 Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu;
10 lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.​
leteni mistari mitamu kama hii basi kutoka kwa kulwani
 
According to men love is what you have so that he can consider you. wanaume wa siku hizi majanga pata picha mwanaume anapata no yako leo , hata hajajua jina lako anataka kujua unafanya kazi gani?

Hivi Mungu alivyowaambia watakula kwa jasho lao walidhani anatania? Men get serious bana. Sisi ni wasaidizi bana tunasaidia baadhi ya vitu bana, eti in the first place mwanaume anauliza " anafanya kazi gani? mshahara wake sh ngapi? Mmmh hiki kizazi legevu cha kiume kimetoka wap?

Mtoto wa kike kwa bahati mbaya akiuliza haya maswali sio mbaya kiviile its nature, na maandiko yametoa maelekezo.huwezi kupingana na nature. Waone ishiiiiii.
 
According to men love is what you have so that he can consider you. wanaume wa siku hizi majanga pata picha mwanaume anapata no yako, leo hata hajajua jina lako anataka kujua unafanya kazi gani?

Hivi Mungu alivyowaambia watakula kwa jasho lao walidhani anatania? Men get serious bana. Sisi ni wasaidizi bana tinasaidia baadhi ya vitu bana, eti in the first place mwanaume anauliza " anafanya kazi gani, mshahara wake sh ngapi? Mmmh hiki kizazi legevu cha kiume kimetoka wap?

Mtoto wa kike kwa bahati mbaya akiuliza haya maswali sio mbaya kiviile its nature, na maandiko yametoa maelekezo.huwezi kupingana na nature. Waone ishiiiiii.
Hahaha kazi kwer,ingekua nnaangaliaga kazi Wala tusingetengana na N.....
Ila issue Ni upendo ti
 
According to men love is what you have so that he can consider you. wanaume wa siku hizi majanga pata picha mwanaume anapata no yako leo , hata hajajua jina lako anataka kujua unafanya kazi gani?

Hivi Mungu alivyowaambia watakula kwa jasho lao walidhani anatania? Men get serious bana. Sisi ni wasaidizi bana tunasaidia baadhi ya vitu bana, eti in the first place mwanaume anauliza " anafanya kazi gani? mshahara wake sh ngapi? Mmmh hiki kizazi legevu cha kiume kimetoka wap?

Mtoto wa kike kwa bahati mbaya akiuliza haya maswali sio mbaya kiviile its nature, na maandiko yametoa maelekezo.huwezi kupingana na nature. Waone ishiiiiii.
Mambo mrembo..??
 
Mapenzi matokeo ya tamaa za moyo kwa kitu fulani.
Penda penda tu , utawajua mbaka majina waliosema kupenda penda kubaya.
 
According to men love is what you have so that he can consider you. wanaume wa siku hizi majanga pata picha mwanaume anapata no yako leo , hata hajajua jina lako anataka kujua unafanya kazi gani?

Hivi Mungu alivyowaambia watakula kwa jasho lao walidhani anatania? Men get serious bana. Sisi ni wasaidizi bana tunasaidia baadhi ya vitu bana, eti in the first place mwanaume anauliza " anafanya kazi gani? mshahara wake sh ngapi? Mmmh hiki kizazi legevu cha kiume kimetoka wap?

Mtoto wa kike kwa bahati mbaya akiuliza haya maswali sio mbaya kiviile its nature, na maandiko yametoa maelekezo.huwezi kupingana na nature. Waone ishiiiiii.
Haya ya kukutana leo na kuombana namba za simu ni tamaa za mwili sio upendo.
 
According to men love is what you have so that he can consider you. wanaume wa siku hizi majanga pata picha mwanaume anapata no yako leo , hata hajajua jina lako anataka kujua unafanya kazi gani?

Hivi Mungu alivyowaambia watakula kwa jasho lao walidhani anatania? Men get serious bana. Sisi ni wasaidizi bana tunasaidia baadhi ya vitu bana, eti in the first place mwanaume anauliza " anafanya kazi gani? mshahara wake sh ngapi? Mmmh hiki kizazi legevu cha kiume kimetoka wap?

Mtoto wa kike kwa bahati mbaya akiuliza haya maswali sio mbaya kiviile its nature, na maandiko yametoa maelekezo.huwezi kupingana na nature. Waone ishiiiiii.
That's a boy love real men ain't like that ukiona ivo jua uyo n mvulana despite the age
 
Back
Top Bottom