Upendo ni kitu cha ajabu sana

Usinidanganye. Nikiwa na pesa nitapendwa tu. Hata kwenye mkutano wa kijiji akisimama masikini utasikia ameanza huyu hebu mshikilieni!!! Lakini akiamka mwenye pesa hata akiongea pumba utaona makofi kwa wote na kuunga mkono hoja
 
Unaeleza kuhusu UPENDO au MAPENZI?
 
Inasikitisha sana,kama Mimi naona mambo ya mahusiano yamenishinda...bora niendelee kulima tu[emoji23][emoji23][emoji135]
Ewaaah umeona babe umeona kabisa mahusiano hupatani nayo ukiforce sana unabaki kuumia kila siku bora uwaachie tu wanayopatana nayo tuje jf huku tufurahi tuwashauri kama hivi wanaolia lia [emoji1787]
 
Ewaaah umeona babe umeona kabisa mahusiano hupatani nayo ukiforce sana unabaki kuumia kila siku bora uwaachie tu wanayopatana nayo tuje jf huku tufurahi tuwashauri kama hivi wanaolia lia [emoji1787]
Kwa kweli
 
Nini cha kufanya sasa ili niujue upendo wa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…