Upendo ndiyo nguzo kuu katika matendo

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,554
9,531
Je unayohubiriwa na kuyasoma katika maisha yako ndiyo unayatenda na kuyafata? badili njia zako leo safisha njia zako leo watendee mema wote wanaokukera na kukuudhi usiwatendee mabaya usijitese na mambo yapitayo hao ni wanadam wanapita tu muwe na jioni njema
 
W O R D
 
Upendo upendo upendo Ndio msingi wa maisha ya binadamu, MUNGU NI UPENDO
 
Back
Top Bottom