Duh, jamani mbona mkeka wa mchango mimi ulinipita mbali? Hongereni kwa upendo wenu mkubwa! Huyo dogo aliyekuwa anambeba huyo jamaa Mungu ambariki! Halafu hili pumbavu eti bado linatoka nje kuhutubia watu? Hivi hii nchi haina wachawi?Jumanne tulimchangia Catherine (mdogo wake Baraka) kiasi cha TZS 15.6M ili kimsaidie kumalizia elimu yake CBE na pia kiweze kusaidia familia yake na kumsaidia Baraka mwenyewe ambaye alivunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini. Tunamshukuru Mungu kesho yake Baraka akaachiwa huru.
Hata hivyo kukawa na maoni mengi ya watu wakitaka kijana aliyekua akimbeba Baraka gerezani na Mahakamani Kisutu nae achangiwe. Kijana huyo anaitwa Jovin Kaaya mkazi wa Kimara jijini DSM alijitolea kumbeba Baraka kwa kipindi chote wakiwa gerezani. Jana tukaweka mkeka na kwa neema ya Mungu tumeweza kumchangia Jovin kiasi cha TZS 10.9M.
Mungu awabariki sana wote mlioshiriki sadaka hii. Kiasi hiki alichopata Jovin atatoa kiasi kidogo kusaidia familia ya Nyapara aliyekua akiwahudumia gerezani. Kwahiyo tumeweza kurudisha tabasamu kwa familia ya Baraka na Jovin kwa kuwachangia jumla ya TZS 26.5M. Kwa niaba ya familia hizi mbili tunawashukuru sana. Utukufu kwa Mungu ๐๐ฝView attachment 3521049View attachment 3521050
Kama Mungu alivyotuahidi, na akatende kwa ajili ya walioumizwa! Yeye mwenye alituahidi tumwachie kisasi ni chake! Na awashughulikie kadri itakavyompendeza yeye! Natamani Mungu akampige Samuya ukichaa, atembee uchi ili siku ya siku tumkute hana nguo mtaani tumle!Kwa waliosababisha madhila haya kwa wahanga tunamwachia Mungu mkuu ashughulike nao
Aaaameeeen ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐๐ฟKama Mungu alivyotuahidi, na akatende kwa ajili ya walioumizwa! Yeye mwenye alituahidi tumwachie kisasi ni chake! Na awashughulikie kadri itakavyompendeza yeye! Natamani Mungu akampige Samuya ukichaa, atembee uchi ili siku ya siku tumkute hana nguo mtaani tumle!

Jumanne tulimchangia Catherine (mdogo wake Baraka) kiasi cha TZS 15.6M ili kimsaidie kumalizia elimu yake CBE na pia kiweze kusaidia familia yake na kumsaidia Baraka mwenyewe ambaye alivunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini. Tunamshukuru Mungu kesho yake Baraka akaachiwa huru.
Hata hivyo kukawa na maoni mengi ya watu wakitaka kijana aliyekua akimbeba Baraka gerezani na Mahakamani Kisutu nae achangiwe. Kijana huyo anaitwa Jovin Kaaya mkazi wa Kimara jijini DSM alijitolea kumbeba Baraka kwa kipindi chote wakiwa gerezani. Jana tukaweka mkeka na kwa neema ya Mungu tumeweza kumchangia Jovin kiasi cha TZS 10.9M.
Mungu awabariki sana wote mlioshiriki sadaka hii. Kiasi hiki alichopata Jovin atatoa kiasi kidogo kusaidia familia ya Nyapara aliyekua akiwahudumia gerezani. Kwahiyo tumeweza kurudisha tabasamu kwa familia ya Baraka na Jovin kwa kuwachangia jumla ya TZS 26.5M. Kwa niaba ya familia hizi mbili tunawashukuru sana. Utukufu kwa Mungu ๐๐ฝView attachment 3521049View attachment 3521050
Hii ni njia bora kabisa ya kuwaonesha madhalimu kwamba an attack on one of us is an attack on all of us. Hawawezi kutufanya tupoteane!Jumanne tulimchangia Catherine (mdogo wake Baraka) kiasi cha TZS 15.6M ili kimsaidie kumalizia elimu yake CBE na pia kiweze kusaidia familia yake na kumsaidia Baraka mwenyewe ambaye alivunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini. Tunamshukuru Mungu kesho yake Baraka akaachiwa huru.