ahsante sana kwa utafiti mzuri ila nahofu hujakamilisha utafiti wako. labda una hofu na shungi kitu ambacho ni kweli zikikaa shungi tano zinaonekana sana kuliko vimini 50. kama si majungu unaleta hapa kama kina mama kisimani.
naomba utupe data hizi.
nssf ina wafanyakazi wangapi, maafisa waangapi, menejiment wangapi,
wakristo wangapi na waislam wangapi na
kada ya chini makarani, madereva, wahudumu wakristo wangapi waislam wangapi,
lete hapa ukipata kada ya maafisa waislam ni zaidi ya 40% nakupa tzs 100,000 cash
vinginevyo hayo ni majungu na udini wako peleka kisimani kwa wanawake wenzio
upendeleo gan? Toa mambo ya udini, mmeshindwa kwenye uchaguzi mnaanza kuleta mambo ya udini hapa jamvini. kuvaa shungi ni kosa gani, utaliaka ukute wamevaa vimini ili uangalie mapaja jao au ulitaka ukute wamevaa suruali ili uangalie hipsi zao. kama hauna chakuongea nenda ukalale.
Ofisini mtu akivaa ushungi ni udini? Vipi TRA, SUMTRA, TANESCO, akuna udini?
Hawa jamaa sikukuu za kikristo ofisi zote za serikali zinapambwa maua mnamkataba mou mnachukua pesa serikalini kodi tunalipa wote muulizeni slaa ile hospital ya anayoiongoza ya ccbrt nusu ya mishahara ya wafanyakazi inalipa serikali sioudini huo we umeona shungi nusu ya bajeti ya wizara ya afya inakwenda ktk hospital za kanisa kodi tunalipa sote, nikikwambia mambo mengi nitaliza watu jamvini humu
Dr. D amepeleka maombi TPA awe CEO. Nssf ameshafanikisha lengo lake
Jk alikuja wabana, wakristu, wa kaskazini, na wachaga specifically....mwenyewe anadai bila kuweka usawa "Amani haitakuwepo"...Hao ndio watu walioshindwa jenga jamii wakachagua njia rahisi ambayo ni kubomoa, wanapiga mkwara kuwa bila usawa wataivunja amani.
Wachaga kawabana vipi wakati kila sehemu kawapeni ulaji bwana JK msemee kingine lakini sio hilo la kusema eti amewabana watu wa Kaskazini hata kidogo
Huo ni udini wako na chuki za kipuuzi ulizonazo dhidi ya imani nyingine,mbona husemi baraza la mitihani lilivyofanywa kuwa ni kigango cha kanisa katoliki.Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.