Upelelezi kabla ya kuoa

Upelelezi kabla ya kuoa

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers
 
Duuuhhh shida yenu ,,demu umekutana naye humu ,,miezi mitatu unataka kumuoa ,,baada yandoa unarudi kulalamika tena teheeee.

Guys give yourself space ...ukitaka kujua kwann ndoa zazaman zilidumu waulizee wazeee ....hawa wanawake Wa wasap ,insta ,fb ,jf,, sio wakukurupukia kuoa yahitaji muda yaaan muda wakutosha .
 
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great thinkers

Inategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa smart, intelligence hapa ni ya muhimu sana. Utajua mengi sana kama ndiye au siye.
 
Inaonyesha anaharakisha mambo,haya mambo sio ya kuharakia jamani. Kufahamiana kiundani ni muhimu mno.

Kuna familia ni balaa tupu kuoa/kuolewa.
 
Inategemeana na kabila. Kama ni demu la kichagga mtegeshee hela na mali, ukiona anashabikia sana kutaka kujuwa una akaunti ngapi, nyumba ngapi, huyo ni jinamizi la talaka.....piga chini mara moja. Hakuna mapenzi hapo.
Kama demu wa kihaya itakuaje mkuu
 
Back
Top Bottom