Upekuzi

Upekuzi

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Raha sana
1459275578076.jpg
1459275652665.jpg
1459275671441.jpg
 
mpekuziiiiiiiiiiiiiiiiii njoooooo huku uonee ndugu zakooooooooo wanavyo pekuaaaaaaaaa
 
Mseven anaishi kwa hofu sana. Bado kidogo ataanza kupekua chini ya makaburi ili ajihakikishie kuwa marehemu wamekufa kweli wasije rudi duniani kuongeza watu wa kumsumbua kwenye ulaji.
 
Hawa wanakagua nn maeneo hayo ya hatari..Huu ni ubazazi
 
hiyo kazi kama wangempa Juan moses angeokota wengiii😀😀😀
 
Kibinti kinatamani Afande asimalize ukaguzi.
 
Back
Top Bottom