Ushauri tu, naomba usimwamini demu yeyote katika maisha ya mapenzi kuwa hawezi kukusariti maana wanawake hawajulikani wanataka nini katika maisha.
Ikibidi hata utakapo oa usije kumpa asilimia 100 uko peke ako,,
Wanawake wa peke ako nahisi waliisha kipindi cha vita ya Idd Amin .
Niushauri tu mjomba usinichukie.
Kabisa kamanda mimi nliamini ni wangu peke angu mzee wala nlikua siwazagi kama anaweza fanya ivo alooo Ndio yakanikuta hayo
Mbona hata nyie wanaume mkiishi peke yenu mambo ni hayo hayo.
Hata hivyo sio kila mwanamke ana ujasiri wa kuingiza mwanaume asiye mpenzi wake ndani na kulala nae, ni ujasiri wa aina yake.
Binadamu bhana...sasa wewe umekuta kipande cha condom unalalamika..
Kama ungekuta sms kuwa analalamika kupiga game dry na anamshaka na afya yake ungefanyaje!!
Jombaaa jipige kifua cha ushindi mlokole wako anaijali afya yake na yako pia.
Usifikiri na sisi hatusikii genge babu we..
Hakuna mwanadamu asiyesaliti...hilo weka akilini[emoji1635][emoji1635]
Nlibaki mdomo wazi afu jamaa linalalmika kabisa Kwanin hatoi ushirikiano kama siku zingine
Unamuda gani hujaenda kumuona mpka hiyo siku ulipokutana na vimbwanga..Sawa lakini sio vyema kufanya hivyo kwa mwanamke, mwanamke ni kujisitiri aisee
Rafiki umeshaanza kuishi nyumba moja na yule nusu rafiki yako?[emoji6][emoji6][emoji6]Binadamu bhana...sasa wewe umekuta kipande cha condom unalalamika..
Kama ungekuta sms kuwa analalamika kupiga game dry na anamshaka na afya yake ungefanyaje!!
Jombaaa jipige kifua cha ushindi mlokole wako anaijali afya yake na yako pia.
Usifikiri na sisi hatusikii genge babu we..
Hakuna mwanadamu asiyesaliti...hilo weka akilini[emoji1635][emoji1635]
Unamuda gani hujaenda kumuona mpka hiyo siku ulipokutana na vimbwanga..
Tuanzie hapo kwanza
Chenu ubinafs..sisi wenyewe kunamuda tunatamani kutembezewa pipeKwa mwanaume ni kawaida na hakuna mwanaume rijali na inafahamika Ila tatizo nyie siku hizi mmetuzidi hadi sisi na matukio hayo, swali wewe hujawai leta mwanaume kwako tofauti na mpenzi wako?