Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,676 Reaction score 19,819 Jun 17, 2016 #541 kichomiz said: Tunaongea Kwa maandishi Click to expand... hauwezi kuongea kwa maandishi mkuuu..... mnawasiliana kwa maandishi
kichomiz said: Tunaongea Kwa maandishi Click to expand... hauwezi kuongea kwa maandishi mkuuu..... mnawasiliana kwa maandishi
peter babagody Senior Member Joined Jun 16, 2016 Posts 103 Reaction score 44 Jun 17, 2016 #542 Ni uongo tu
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 Jun 17, 2016 #543 Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii
Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,945 Reaction score 23,890 Jun 17, 2016 #544 Rweye said: Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii Click to expand... Okeii..... Thats pretty good.
Rweye said: Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii Click to expand... Okeii..... Thats pretty good.
upendodaima JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 4,086 Reaction score 4,527 Jun 18, 2016 #545 Hizi ziitwazo simu feki ziliingia vipi nchini?zililipiwa kodi?serikali ilikuwa inatambua hilo? kama ilitambua kwann haikuzuia ili kuwaepushia wananchi wake hasara?
Hizi ziitwazo simu feki ziliingia vipi nchini?zililipiwa kodi?serikali ilikuwa inatambua hilo? kama ilitambua kwann haikuzuia ili kuwaepushia wananchi wake hasara?
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Jun 19, 2016 Thread starter #546 Hadi muda huu kamchina kangu bado kanapiga kazi. Nasubiri kuona kama kweli wanazijua simu feki.
R Ramon_Munisi chaggaBoy New Member Joined Jun 21, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jun 22, 2016 #547 Waungwana nahitaji kufaham kwani simu iliyofungiwa data inakuwa on lakini simu haziingii wala kutoka
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,317 Reaction score 1,909 Aug 10, 2016 #548 he wiki iliuozimwa na TCRA now yanchi unaweza kutumia?
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,317 Reaction score 1,909 Aug 10, 2016 #549 je simu iliyozimwa na TCRA ukienda nayo nje yanchi inatumika?