Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)Nimejaribu simu yake fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya tcra, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao .
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiamvia ni fake.
Soma post #3 mkuuNi kweli kiongozi maana hata hii ambayo mimi ninaitumua ni Fake laki nashanga kuona bado naendelea kufanta mawasiano
Mkuu sijasema wanazima 12 asubuhi bali watazima usiku wa leo saa 6 kwa kiswahilisaa 12: 00 ya tarehe 16 june 2016 imesha pita mkuu
sawa mkuu maana nilisha andaa jogoo nichinje kusherekea ushibdi[emoji28] [emoji28] [emoji28]Mtakuwa hamjalielewa vizuri tangazo la TCRA, wao wamesema simu zote feki zitapigwa pini leo tarehe 16 saa 6 usiku kuamkia tarehe 17.
Kwa hiyo msijipe moyo, bado 'kitanzi' cha simu hizo feki kipo pale pale.....
Kumbe unajua, umeanzisha uzi wa nini sasa!!!sio saa 6 ni saa 5 na dk 59 maana yake kabla ya saa 6
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji35] [emoji3] [emoji3] [emoji3]sawa mkuu maana nilisha andaa jogoo nichinje kusherekea ushibdi[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimejaribu simu yake fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya tcra, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao .
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiamvia ni fake.
Ni kweli kiongozi maana hata hii ambayo mimi ninaitumua ni Fake laki nashanga kuona bado naendelea kufanta mawasiano
Hizo simu zenu kweli ni feki badilisha haraka sana!!
hivi humu tunaongea au tunaandika....sioni hata ulicho ongea[emoji28]