Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,077
- 136,503
Baada ya yule aliyejitambulisha kama ‘kapteni’ wa JWTZ kuja na ile video yake, kuna watu humu walikuwa na kila aina za taarifa.
Mmoja kati hao watu alikuwa ni mwanaJF mkongwe kwa jina la Msanii.
Mwenzetu huyu alileta hapa hizi mada mbili:
I almost immediately called BS on it.
Nilijua tu katika hali na mazingira kama yale, kungekuwepo na kila aina ya uzushi.
Sasa siku kadhaa zishapita na hakuna habari wala taarifa zozote zile za matokeo ya huo mkutano wa kamati kuu iliyokutana usiku.
Hakuna hata picha ya ndege na helikopta zilizotumika kuwapeleka hao wajumbe kwenye huo mkutano 🤣.
Pia, hakuna habari zozote zile kuhusu hao wastaafu wa JWTZ walioitwa kuja kuongeza nguvu.
Just as I said from the get go, the whole thing was a nothing burger.
Haya leteni matusi na mashambulizi yenu.

Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika.
Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo.
Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.
Kampeni za CCM zinaweza kusitishwa kwa muda.....
Tega sikio hapa JF kwa updates sahihi zaidi

- Msanii
- ccm helikopta kamati kuu ccm
- Replies: 71
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri

- Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
- Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
- Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
- Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na...
- Msanii
- amri jwtz kuongeza wastaafu
- Replies: 122