Updates za Mazao ya msimu wa 2022

Mlioanza kuvuna mpunga bei gani debe..mchele bei gani na karanga bei gani kilo au debe.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Afadhali ya nyie kama mtavuna kidogo wengne kwenye mpunga tumekula za kichwa mazima aisee... alaf ndio bei ya mpunga kubwa hatar.
Ngoja tukanunue tu alzeti ili tufidie hasara japo nao mwaka huu wameanza na bei kubwa balaa.
Bei ya mpunga ikoje mkuu
 
Mkuu mpunga bei gani
 
Kwa mkoa wa Iringa hali ya mavuno hasa ya mahindi nakadiria kuwa 70%. Kuna maeneo mavuno ni mazuri na mengine ni wastani. Ila kwa zao la Alizeti halijaathirika na upungufu wa mvua uliojitokeza.

Kwa mkoa wa Mbeya kuna mtu kaniambia hali si nzuri sana kwa baadhi ya maeneo japo watavuna.
 
Nimefanya majaribio ya kulima acre 25 za mahindi kwa njia ya umwagiliaji. So far mahindi yapo hatua ya kukomaa tayari kuvunwa mwezi Juni yakiwa na afya njema kabisa. Nimebaini kilimo kinahitaji umwagiliaji sio vinginevyo. Mwakani Mungu akipenda napiga acre100.
Ni mkoa gani huo?.. kukodi Ekari beigani?!
 
Back
Top Bottom