Updates za Mazao ya msimu wa 2022

Nimefanya majaribio ya kulima acre 25 za mahindi kwa njia ya umwagiliaji. So far mahindi yapo hatua ya kukomaa tayari kuvunwa mwezi Juni yakiwa na afya njema kabisa. Nimebaini kilimo kinahitaji umwagiliaji sio vinginevyo. Mwakani Mungu akipenda napiga acre100.
Safi sana mkuu, ukihitaji acres za kuongeza za mashamba ya umwagiliaji. Karibu Malolo - mikumi wilayani Kilosa nakodisha mashamba ya umwagiliaji. Maji ni 24/7
0688 476 770
 
Kwa sasa baadhi ya mazoa kwa SONGEA -Ruvuma yameanzwa kuvuna ikiwemo ufuta,soya , mpunga na mahindi.Kwa upande wa maharage kwa soko la sodeko yanaonekana yapo mengi na kufanya Bei Hadi wiki iliyopita unaweza pata kwa Tsh 1000
Hivi zao la ufuta sasa hivi bei zimekaaje? Mana kuna kipindi ulivuma huo...!
 
Kwa kuuza ni kiasi gani? Mazao gani yanakubali
Ya kuuza yanatokeaga japo mara chache sn (If ur interested ntakuangalizia.) Mazao karibu yote yanakubali (Nyanya, hoho, vitunguu, mahindi, tikiti, migomba, miwa) kasoro yale yanayoweza kustawi sehem za baridi. Mana huku ni ukanda wa joto.
 
Mahindi na maharage mkuu (acre btn 50-100) could be perfect. Muhimu bei iwe ya kinyonge.
 
Yap, Kuna kipindi bei zliyumba sn lakin.
Mkuu unaweza kulima hili zao kwa kumwagilia? Halaf ni kipindi gani bei yake inakuaga nzr zaidi?
Naam, ufuta, alizeti unaweza kabisa kulima kwa kumwagilia. Si mazao ya msimu kama mahembe pori. Kuyumba kwa bei ya ufuta ni tatizo la taarifa tu. Bei ya ufuta msimu wote ni nzuri isipokuwa shida yake wateja wanajitikeza kwa wingi msimu wa mavuno kwa wengi. Kwasababu soko kubwa ni nje ya nchi, ni vigumu kupata mteja baada ya msimu kwasababu kiasi cha ufuta kitakachokuwepo huenda kisiwe economically viable kusafirisha nje (meli).

Hata hivyo, ufuta wenye soko na bei nzuri ni ule mweupe na umefanyiwa grading vizuri.
 
Shukrani kwa taarifa, naomba kujua kwa msimu huu ufuta mmeuza bei gan? Na unaposema wakat wa mavuno unamaanisha ule mwezi wa sita, saba, nane au sio?
 
Bei ilianza 2900+hadi 3330+ kwa bei za vyama vya ushirika kwa wakulima. Kulikuwapo waliokuwa wakinunua Dar bei ilikuwa Kati ya 3000~3800. Pia kuna kampuni zilitoka pakistani na vietnam wenyewe walikuwa wakinunua kwa 5000 (hata ukiwa na tani ngapi). Tatizo la hawa walikuwa interested na high quality ambao hauna ukungu hata kidogo, hauna mchanga na mweupe tu. Yes
 
Mh! Mazao yenye process ya vyama vya ushirika hua nayaogopa (saisa nyingi)
Bas nme loose interest.
 
Nimefanya majaribio ya kulima acre 25 za mahindi kwa njia ya umwagiliaji. So far mahindi yapo hatua ya kukomaa tayari kuvunwa mwezi Juni yakiwa na afya njema kabisa. Nimebaini kilimo kinahitaji umwagiliaji sio vinginevyo. Mwakani Mungu akipenda napiga acre100.
Apa nimekumbuka msemo fulani "Mazao yanahitaji Maji sio Mvua"
 
2353BD21-AA5A-4712-9C01-A0E27C52A6B6.jpeg

Nyanya imekubali, Soko sasa.
Npo bagamoyo
 
Back
Top Bottom