VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,099
- 2,209
tupo pamoja mkuuWAZO ZURI,bila shaka wadau wa jukwaa hili akina Kitoabu, Makoye Matale, Revocatus Kashaga, watu8, Nakapanya, Amavubi, , ndetichia, Baba V na wengine wengi Watakuunga mkono
WAZO ZURI,bila shaka wadau wa jukwaa hili akina Kitoabu, Makoye Matale, Revocatus Kashaga, watu8, Nakapanya, Amavubi, , ndetichia, Baba V na wengine wengi Watakuunga mkono
Mkuu,hii inatokana na ushabiki wa kijingwa na rushwa zinazotembea kwenye vyombo husika.Sioni maana ya usimba na uyanga hapa tz maana unadidimiza soka letu bongo.Hivi kwa nini tumeanza kua na utamaduni wa kulazimisha mechi za Simba na Yanga ziwe za Mwisho?
Mkuu,hii inatokana na ushabiki wa kijingwa na rushwa zinazotembea kwenye vyombo husika.Sioni maana ya usimba na uyanga hapa tz maana unadidimiza soka letu bongo.
Nachukia sana ushabiki wa simba na yanga na hawa wahisani wanaoleta mashindano ya mtani jembe kati ya simba na yanga,mimi binafsi nashabikia Kagera Sugar na najivunia kushabikia timu yangu hiyo.
kagera sugar imeanzishwa juzi tu, kabla ya mwaka 2000 wala haikuwepo, ina maana kabla ya kuanzishwa kwake wewe haukuwa na timu unayoishabikia hapa Tanzania?
NB: hata hao wachezaji wa kagera sukari timu unayoishabikia, nao wamegawanyika wapo wapenzi wa yanga na wa simba pia
Nimeanza kuishabikia kagera Sugar toka nipo mtoto tena enzi hizo ikiitwa RTC Kagera na hiyo miaka ya 2000 ilikuwepo sema jina tu ndo limechange.
Siku zote lazma ujali cha nyumbani mkuu,sioni fahari kushabikia simba na yanga wakati mkoa ninaotoka kuna timu ambayo hata simba na yanga wakikutana nayo wanaiogopa.
Kwa mwendo huu na watu wenye mawazo kama yako basi soka la bongo bado sana kukua.
Ligi ni biashara, na wapenzi wengi wa soka Tanzania ni mashabiki wa hizi timu mbili, zikicheza mapema watu wanaona ligi imeishaisha. Halafu hii haijaanza leo kwa taarifa yako!Hivi kwa nini tumeanza kua na utamaduni wa kulazimisha mechi za Simba na Yanga ziwe za Mwisho?