Akishafungwa mmoja utaona watamwagika tu hapa, saa hizi wanaogopana wanatoa updates kwa machale lakini ni halftime now milango yote migumu
bora mkuu and thanks 4 updates maana before the game jamaa walikuwa wanachonga sana(wanacheza mpira wa mdomon) lakin mida la gem la uwanjani wote wamepotea
Mwinyi Kazimoto ndani Ulimboka nje kwa upande wa Simba: dk ya 24
huyu jamaa si ndio aliisumbua yanga wakati wa fainali za kagame na kuumia? yaani amepona tena siku ya yanga na simba?????
Vp tuambien nan kaonekana kuzidiwa