Jamani au hakuna mechi leo nn? Maana watangazaji wote wa jf 'wameshepa' wengine tupo nje ya mipaka ya bongo tunaitegemea jf kupata updates kama kunawadau wanafwatilia huu mtamange waendelee kutujuza, haijalishi hata kama mkifungwa c tutawapa pole, hatutawcheka promise