Moja kati ta mechi ngumu na yenye vishawishi ni hii , hebu pambanua mwenyewe , Yanga anaweka mzigo ili Azam afungwe , Azam nae anapanda dau ili amfungeMbeya city na kutangaza ubingwa., kwa mechi hii mbeya city anaweza kuwa bingwa kwa mambo ya nje ya uwanja , nikiwa na maana hv , Mbeya city wapokee mzigo kutoka kwa Yanga , na tena wapokee mzigo kutoka kwa Azam , maana yake wanaweza kuwa na zawadi inayozidi ubingwa yaani 45 ml. Kwa ujumla nawasikitikia Mbeya city , na nnawasihi mashabiki wa city kesho tukubaliane na matokeo yeyote , kwani hii ni moja ya mechi yenye changamoto sana :