cheki picha ya uwanja..hali si shwari mabatini mvua inanyesha sana na uwanja umejaa maji..
cheki picha ya uwanja..
Ndio safi
mbona leo wadau hawana mshawasha? wapi Makoye Matale, Revocatus Kashaga, Okwi,Boban,Sunzu na wadau wengine?[/QUOTE
Ruvu Shooting Vs Azam FC !
na Yanga Vs Kagera!
"BP inapanda na kushuka"
goooo
dk 6
Yanga 1-0 Kagera
Game imeanza mkuu.vp game imeanza?
Shit!!!Yanga 0 Kagera 0