Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Azam FC wanaongoza kwa goli 2...............da hawa Azam wanatisha........
 
kadi nyekundu kwa mchezaji wa Toto na AFC wanapata penati
 
Mpira kati ya azam AFC na JKT Ruvu umemalizika kwa Azam kuondoka na ushindi wa goli 2 kwa beseni...
 
Mpira kati ya Polisi na Maji Maji umemalizika kwa polisi kupata goli 3 zidi ya goli 2 za Majimaji.
 
Mpira kati ya AFC na TOTO AFRICA umemalizika kwa Toto kuondoka na ushindi wa goli 2 huku AFC ikiambulia goli 1...
 
Leo ni Azam FC inayoshika nafasi ya 3 na Majimaji inayoshika nafasi ya 11...
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooo
Azam FC 1 na Maji Maji 0, Mfungaji Mrisho Ngasa.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…