Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
mpira wa afc na ruvu umemalizika kwa afc kuondoka na point zote 3 na goli moja
 
Mpira wa Yanga na Maji Maji umemalizika kwa timu zote kugawana pointi moja moja baada ya kutoka sare ya bila kufungana...
 
Naona ndala na mambo yanazidi kuwaendea mrama kila kukicha
 
Leo ni Simba na Polisi Tanzania, kama simba atafanikiwa kuifunga timu ya Polisi basi ataongoza ligi baada ya mtani wake jana kutoa sare na kuambulia pointi 1 na mpaka sasa anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 2 na amecheza michezo miwili zaidi.....
 
mpaka mwisho wa mchezo: African lyon 2 na JKT Ruvu 1..
 
Mtibwa Sugar 0 na JKT Ruvu 0
Polisi Tanzania 1 na Ruvu Shooting 0
AFC 1 na Maji Maji 0
 
Toto Africa 2 na Simba 2
Azam FC 1 na African Lyon 0
 
Azam FC 0 na JKT Ruvu 0

Toto Africa 0 na AFC 0

Polisi Tanzania 1 na Maji Maji 0
 
Toto Africa wanapata goli la kwanza ni dakika ya 37
 
Polisi wana pata goli la pila na ndani ya dakika Majimaji wana sawaziisha goli
Polisi 2 na majimaji 2
 

Attachments

  • msimamo21022011.jpg
    24.2 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…