Yanga hawezi tufunga zaidi ya tatu!na kwa taarifa yako tunakupiga tuNakumbuka Yanga iliitwanga 5-1 Ashanti, ikailima 7-0 Komorozine, Ruvu Shooting nao walikula 7-0, leo tena 5-0 kwa Prisons. Ole kwa timu itakayofunga pazia la ligi na Yanga itapigwa zaidi ya 5-0. Mwenye masikio ya kusikilia na asikie.
Yanga hawezi tufunga zaidi ya tatu!na kwa taarifa yako tunakupiga tu
Yanga hawezi tufunga zaidi ya tatu!na kwa taarifa yako tunakupiga tu
Sahau kabisa Azam kuwa bingwa msimu huu.Azam oyeeeee...tuwanyime yeboyebo ubingwa.
Simba kama Man U!!!!! vp pori lao Bunju wamemaliza kulima????Yanga kama Liverpool!!!
Nakumbuka Yanga iliitwanga 5-1 Ashanti, ikailima 7-0 Komorozine, Ruvu Shooting nao walikula 7-0, leo tena 5-0 kwa Prisons. Ole kwa timu itakayofunga pazia la ligi na Yanga itapigwa zaidi ya 5-0. Mwenye masikio ya kusikilia na asikie.
Ashant united leo Ushindi ni lazima kwa hawa wajeda..Chamazi Complex
FULL TIME: Ashanti 2-1 Oljoro JKT
Ni kesho mkuu hawa ni wale waharibifu wa viti pale Taifa ndioKwani mechi hii imechezwa leo au ni kesho?Msaada tafadhali wanaJF.
Ni kesho mkuu hawa ni wale waharibifu wa viti pale Taifa ndio
wanaosema tatu