UPDATES: US midterm election results

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,450
Reaction score
145,502
Wow! Just wow!

This is a total repudiation of Trump.

Yaani miaka miwili tu baada ya kurudi madarakani kwa kujenga bonge moja la coalition, leo wapiga kura wa Marekani nao wameongea kwa kukataa kabisa sera za Trump.

Mtu unaahidi kuwa hutaanzisha vita. Baada ya mwaka unaanzisha vita ya kipumbavu inayovuruga uchumi wa dunia, unategemea nini?

Unaahidi utakamata na ku deport wahalifu. Unaingia madarakani unakamata na kuanza ku deport hadi raia! Unategemea nini?

Sidhani kama huu ni ushindi wa Democrats. Huku ni kukataliwa kwa namna Trump anavyoiendesha nchi.

Hivyo Democrats wasidhani kwamba wanakubalika kivile maana na wao walipewa fundisho na wapiga kura 2024 kwa kumchagua Trump.

Wow!
 
kama mpk TX wamemkataa Trump ajitafakari sana
 
The fact that Kansas and South Carolina flipped should be alarming to Trump and his administration.
 
Inaamana regime change imehama Iran na imehamia Marekani?
 
2024 palikua na wizi wa kura, ndiyo maana musk hutamba bila yeye Trump asingekua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…