Updates: Tanzania Postal Bank

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Jamaa hawa walisema usipopata taarifa siku saba toka deadline ambayo ilikuwa tarehe 6 mwezi huu ujue hujafanikiwa kwenye post za Team Leader na Freelancer. Sasa leo ndo mwisho bila shaka, vipi kuna yeyeote ambaye ameitwa?
 
endelea kusubiri mkuu me nipo na insider information
 
Sio siku saba ni wiki mbili. Usizime simu kuanzia kesho tunaanza kuwapigia
 
mmepata message zangu. Sasa inabidi mkaze kitu ni kigumu mpo zaidi ya 3000
 
Mimi jana nimepokea sms ya kuitwa kwa interview, itakayofanyika sam nujoma road katika moja ya flats za posta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…