Updates sakata la Nchambi MB

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,801
2,000
Kati ya silaha 16 zilizokamatwa nyumbani kwa mbunge wa kishapu Mhe. Suleiman Nchambi ni silaha 6 tu zina vibali huku silaha 10 zikiwa hazina uhalali wa umiliki wake.
kilo 35 za nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyama pori sampuli zake zimepelekwa kwa Mkemia Mkuu. Clouds Media on Twitter
IMG_20200507_200422.jpg
IMG_20200507_200413.jpg


Jr
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,351
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom