Updates, NHIF na GEPF interviews | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates, NHIF na GEPF interviews

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Planner, Sep 7, 2012.

 1. Planner

  Planner JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye yanayojiri baada ya zile written interview za GEPF na NHIF nafasi za assistant accountant wiki mbili zilizopita .Natanguliza shukrani
   
 2. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kua mcha Mungu na atakutangulia nchi ishauzwa itakua ajira?
   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  jamani mwenzetu ameoma update kwa aliyekuwa nazo! na si kuandika uchafu humu, kama huna updates kaa kimya, mbona wengi wanafungua uzi kama huu na wakikuta hawana wanachokijua basi wanaendelea na shughuli nyingine, sio siku mtu ukiwa umepata free internet na pc basi ndo lazima u comment kila uzi bana!
   
 4. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nikamshauri oumbe Mungu kwanza coz kazi hizo ni kila kigogo anazitolea macho na bado watoto wa shemeji zao. Its hard to take yet we keep the faith. Hata mimi nimo kwenye mchakato huo ila mingi ilipita kwa stail hii. Written then kimyaaa......

  Kabla ya hii ya juzi kuna zilizotangazwa lakini watu wakachukuliwa na kupelekwa mikoani kabla hata ya shortlist, na kuwaweka huko kwa miez kadhaa kisha ndio kua presented kama new Employees...

  Say something.
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  "Kabla ya hii ya juzi kuna zilizotangazwa lakini watu wakachukuliwa na kupelekwa mikoani kabla hata ya shortlist, na kuwaweka huko kwa miez kadhaa kisha ndio kua presented kama new Employees..."

  hao ni NHIF au GEPF? duuuh!
   
 6. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni NHIF !
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  duuuh! hii imenisononesha sana, sasa hawa waliowachukuwa ni wa vigogo na watu wao, then bado hizi tulizoenda tena kufanya juzi pia wawapachike wengine daaah! alafu hawa jamaa uwa hawana cha oral interview wala nini. kama ile tuliofanya majuzi ndo imetoka iyo, mtu upate bahati ya kuitwa job tu, nasikia hawa jamaa wanalipa vizuri mno na ndo mana watoto wawajuanao wanaingia sana hapo NHIF,,,,
   
 8. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NSSF je unakumbuka nyomi iliyokua IFM? Mtu kasoma TAX anaenda kufanya ACCOUNTING mimi hoi......
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  In God we trust, GEPF post ya IT Systems Administrator tulikua 101 wakati wanataka mtu mmoja lakini naamini wakati wa Bwana ukifika hata tukiwa 15000 wakati nafasi ni moja itakuwa yangu, so sitakata tamaa maana wakati wangu utafika tu hata wachukuane kwa kujuana
   
 10. m

  markj JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  uko ndo usisema kabisa! acha tu,,,,, ngoja tuendelee kula vumbi tu,ila kitakuja kueleweka tu
   
 11. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naomba Kama unajua post zingine zilikuwa zinahtaj watu wangapi utumegee kdogo
   
 12. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  Mi ndo maana sikutaka kuja kwenye interview manake nilistuka, we nafasi zipo 15 mnaitwa 3407, si wizi huo,yaani nitoke Bukoba niunguze nauli yng huku nikiwa sina matumaini,hao jamaa ni wa**uzi sana na kwa nn cjui nilituma maombi manake hata hela yng ya bahasha imeliwa bure na wajinga kama hawa wanaoajiriana kwa kujuana huku per4mance ikiwa very low[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 13. herbsman

  herbsman Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yatakiwa kuwa na subira na imani mwenyenzi mungu kila mtu amempangia ridhiki yake imani zenye mashaka huwezi pata ambacho umekusudia .muda ni kila kitu ikifika december haujaitwa basi open onother door kila jambo lina kusudi lake. be positive.
   
 14. herbsman

  herbsman Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bro i love the way u read my mind.congrats
   
 15. Tarime

  Tarime Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  omba mungu usikate tamaa ndugu
   
 16. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Usikate tamaa ndugu yangu ipo siku yako wewe amini tu, lakini kama unatokea mbali hivo kuja kwenye written interview ni changamoto sana lakini nakuomba usikate tamaa wakati wako ukifika hata waweke njia nzima misumari wewe utapita kwa kupaa kama Airforce One maana crusing speed yake ni mile 600 per hour
   
Loading...