WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
mkuu ndomyana alikuwa anatumegea kila kinachoendelea tangia jana.
kama vipi aendeleze updates zake katka huu uzi mpya, sbbu leo ndio game yenyewe.
kila la kheri Mbeya city.
Simba leo tunaua mtu...
Simba leo anapata ushindi wa kishindo na kuwaacha watu wa Mbeya city na maumivu
Mkuu mpira una maajabu yake ila leoushindi wa simba sawa na kunguru kumnyea binadamu ambayo sio shabaha bali ni bahati tu
Kwani unadhani mbeya city ndo ananafasi ya kushinda kirahisi?
Wapo vizuri wapo kwenye fomu
Watu wamebeba tiketi zote sasa zinauzwa elfu kumi kumi
Ahaahaaa....mechi ya mbeya city vs mtibwa kuna askari magereza yeye alitumia fursa vibaya, alinaswa ame scan tiketi.Wapo mkuu nafikiri wamewaacha watu watumie fursa
Wapo mkuu nafikiri wamewaacha watu watumie fursa
ningependa iwe hivyo ila nadhani ni ndoto tu haina madhara!!Mimi nimeota, Mbeya City 6, Simba 2.
ni ndoto tu.