Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi


Mbowe ndio tatizo sasa!
 

Vip Mzee mzima?
 
labda kama atapata watu wengine waenye majina kama alivyo yeye, tumain pekee alilonalo ni
huko kwao kigoma kwamba yeye binafsi anaweza kurudi bungeni

Hili nakubaliana na wewe, kwa ilivyo sasa ACT inaweza tu kushinda majimbo ya mkoa wa Kigoma na jimbo la Mpanda kwa Arfi.

Majimbo mengine itahitaji kwanza ipate wagombea wanaojulikana na wanaoweza kujiuza wenyewe kwa heshima zao au umaarufu wao kwenye majimbo yao, wakiwamo wagombea maarufu watakaokosa uteuzi kwenye vyama vingine.
 

Hatuwezi kuitoa bado ingawa lazima tuwatikise sana kama watu watajipanga. Hapa ni ubunge tu na udiwani tena watu wakomae sana kukwepa magoli ya mkono,Hutaamini watu wakisinzia wapinzani hawatafikisha idadi waliyonayo sasa kupigana na CCM ni sawa na kupigana na Zombi. Leo Kinana kakusanya kadi nyingi sana za ACT na CDM huko Mwanza .Nadhani jambo hili niliwatahadharisha ACT kadi za kugawa barabarani na viwanjani CCM watazipokea ama watazinunua kisha wataosha nazo majukwaani. Nikiwaambia hivo mnasema Chagadema ,na maneno yenu ,ila ukweli ngoja kampeni ziazi kadi zenu zinapatikana kirahisi sana.
 

msalimie nguruvi3
 
ni upuuzi kulinganisha chama kilichoanza tangu 1992 na chama kisichozidi umri hata wa miaka miwili

Wanajilinganisha ni hao act wenu kwa tamaa zisizo na tija kwa maelekezo ya kiongozi wao sababu ya chuki zake tu,
 
Mcubic njoo ndugu yangu watu wanaingia kwa uchache huku. natarajia picha itapigwa kwenye kachochoro kenye majengo na watu wapo chobingo hammudu viwanja

Mcubic atakuwa yupo anatengeneza picha za kasulu ili atupie leo kuwa ni mkutano wa lindi
 
Ndio zzk anaingia msafara wake umeanza na bodaboda kama 30 hv na magari mawili aina ya land cruiser

Moja yupo zzk ingine afande selle

Hivi kwenye act huyo afande sele ndiye kiongozi mkuu msaidizi?
 
Kwa chama kidogo kama ACT naanza kupata wasiwasi ni nini chanzo cha mapato mpaka wamudu kufanya ziara nyingi kiasi hiki!!!

Hui kuwa bajeti kuu ndio imepitishwa tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…