Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
na kibajaji yupo group moja na huyo jamaa yako. wako wengi tu kama akina sugu, asumpta nk. just to mention few.
Kaa mbali na Lema. Utakufa kwa pressure
na kibajaji yupo group moja na huyo jamaa yako. wako wengi tu kama akina sugu, asumpta nk. just to mention few.
utakufa wewe unayeishi kwa kutegemea kulamba miguu yake ili mkono uende kinywani. godless lema has zero effect kwango. pole.Kaa mbali na Lema. Utakufa kwa pressure
mitusi kwa chadema ni kawaida
utakufa wewe unayeishi kwa kutegemea kulamba miguu yake ili mkono uende kinywani. godless lema has zero effect kwango. pole.
mkuu kaa la moto lema hawezi kuwa mbunge wangu maisha. labda kinyume chake. siwezi ongozwa na zero brain kama yule. sina chuki naye ila jamaa ni full zero. sorry kwa hilo.:becky: Hapo tu ulipo naiona pressure yako iko juu.
GodBless Lema atakuua. Punguza hate. Huyo ni mbunge wako:becky:
mkuu kaa la moto lema hawezi kuwa mbunge wangu maisha. labda kinyume chake. siwezi ongozwa na zero brain kama yule. sina chuki naye ila jamaa ni full zero. sorry kwa hilo.
(labda tu nikupe tafakari; miaka 5 aliyokaa bale bungeni amechangia nini? kuhamasisha fujo? au?)
mitusi kwa chadema ni kawaida
Duu!! Hizo chumvi balaa...
binafsi godless lema nimemweka kwenye kundi la wale wanaotakiwa kwenda mirembe. inahuzunisha kodi yangu inalipa mtu wa aina hii. yaani hicho ndo alichowakusanyia watu kutukana watu wengine? pyuu!