Updates: Mkutano wa Lema na Kafulila Kahama

binafsi godless lema nimemweka kwenye kundi la wale wanaotakiwa kwenda mirembe. inahuzunisha kodi yangu inalipa mtu wa aina hii. yaani hicho ndo alichowakusanyia watu kutukana watu wengine? pyuu!

lema anasema "kikwete hii nchi si ya babako wala ya mamako nchi ya watanzania wote nitaendelea kuongoza arusha kwa kura,kwa kuomba,kiparoko,hata KIBABE " lema anasema rais anapasuliwa busha ? muda huu lema anaigiza sauti za rais kikwete akihutubia alipotoka marekani kutibiwa ,anaendelea kwa kusema bullshit ccm,pia kamanda LEMA anasema akipata wanaume wenzake 1000 wenye roho kama yake basi mwezi october ni mbali sana . KAFULILA ANASEMA "ngoma ya escrow bado mbichi sana watanzania wasubiri ngoma ianze upya"
 
attachment.php
 
Mpeleke kwanza kibajaji
 
Lema katika ubora wake, wa matusi, sasa matusi yanasaidia nini zaidi ya kukosesha heshima?? ajabu sana hii..
 
Nyie watu wa Magamba,mimi ninawashangaa sana! Je mnataka kusema kuwa hii Nchi ni ya baba au mama yake huyu mshkaji wa Bagamoyo? huo ni upunguwani!
 
lema anasema "kikwete hii nchi si ya babako wala ya mamako nchi ya watanzania wote nitaendelea kuongoza arusha kwa kura,kwa kuomba,kiparoko,hata KIBABE " lema anasema rais anapasuliwa busha ? muda huu lema anaigiza sauti za rais kikwete akihutubia alipotoka marekani kutibiwa ,anaendelea kwa kusema bullshit ccm,pia kamanda LEMA anasema akipata wanaume wenzake 1000 wenye roho kama yake basi mwezi october ni mbali sana . KAFULILA ANASEMA "ngoma ya escrow bado mbichi sana watanzania wasubiri ngoma ianze upya"
Picture za updates za huo mkutano Mod tusaidie kuzipandisha juu kwenye Thread
 
Attachments

  • IMG-20150509-WA0058.jpg
    IMG-20150509-WA0058.jpg
    43.9 KB · Views: 431
  • IMG-20150509-WA0054.jpg
    IMG-20150509-WA0054.jpg
    65.9 KB · Views: 424
  • IMG-20150509-WA0053.jpg
    IMG-20150509-WA0053.jpg
    57.4 KB · Views: 415
  • IMG-20150509-WA0061.jpg
    IMG-20150509-WA0061.jpg
    46.4 KB · Views: 398
Nyie watu wa Magamba,mimi ninawashangaa sana! Je mnataka kusema kuwa hii Nchi ni ya baba au mama yake huyu mshkaji wa Bagamoyo? huo ni upunguwani!

Chadema ni ndio Yao . Ila nchi sio ya huyo wa bagamoyo
 
Back
Top Bottom