Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
inatumia muda gani kupiga picha na kutuma
au mpaka adobephotosho itumike ; kuongeza watu wa leo na kampeni ya 2010
kama software aipo ni pm; niwatumie ; ataka watu walikuwa 100 ; wataonekana 17.000
Ahahahaha! wewe Unazi unakusumbua sana lakini nitakuacha kama ulivyo maana sii mara moja wala mbili niliwahi kusema humu JF kuwa nguzo kuu za chama chochote nchini ni WANAWAKE maana hawa ndio walezi wa kweli. na CCM miaka yote imepiga bao kwa kutumia UMOJA wa Wanawake kiasi kwamba nilifikia kupinga chombo hicho kiwe cha CCM badala ya WANAWAKE wote nchini.Mkuu mtazamo mzuri huo
Bawacha wabuni namna ya kuwahamasisha wanawake
Ila lazima tukubali CDM sasa ni taasisi kubwa...hata Mwenyekiti wa Mtaa anaweza kufanya mkutano Mkubwa na watu wakawa wengi kumsikiliza
Otherwise dont expect any positive comment from Mkandara
kumbe ndio maana act wanajaza nyomi!vp simiyu mlijisahau kutumia hio software?
mkapata mitaa mingapi na vitongoji???
sisi uwazi na uzalendo; mtu yeyeto anaruhusiws
na rushwa kubwa hiko kwa kina chenge tunashukuru wametuelewa ;
sisi ndo waibuaji wa escrow
mwenyewe nipo hapa kamanda wanguEee bhana eee ! sasa ni dhahiri TANZANIA BILA CDM haiwezekani .
Safi sana, makamanda wanashambulia kutoka kila pembe! hiki sio chama cha mtu mmoja, akiumwa chama nacho kinaumwa, akifa na chama nacho kinakufaNaendelea kuleta picha.
Anazungumza sasa Mwenyekiti wa mkoa kamanda lulandala
hata aibu hamna,na kafulila aliibua nn?
Naendelea kuleta picha.
Anazungumza sasa Mwenyekiti wa mkoa kamanda lulandala
tuna mwezi mmoja wewe je? Una miongo mingapi kwenye siasa
wenzako hao wanaimarisha wewe ndio unaweka msingi! Sasa haya mambo lazima kupima! Ili kupata picha kamili aende mwenyekiti pekee hapo hapo njombe na aitishe huo mkutano then ndo useme tulishapita!
wananchi wa njombe wamemkana zitto na kusema ametumwa huyo na ccm na kuwa vipigio wamevipata vya kupigia ifikapo 25/10/2015
tunamia miguu yote
tunapiga kotekote; na mungu ni mwema alliance aishindwi dunia nzima;
wabunge viti 70 tutapitisha na kushinda
hatuna wasiwasi
sio mnagutuka ofisini kisa zitooooooooo mzitooooooooooo; mnakimbia kimbia
tumeanza kwa shujaaa mkwawa tumemaliza kwa baba wa taifa tupo dar
Sitoweza waambia wanaChadema chochote maana tayari wameisha hukumu na kusema kweli imenipa picha halisi ya jinsi wanavyofikiri na hata kutoa maamuzi yao. Kwa hiyo sitoshangaa ila kuwatakia kila la kheri..