True mkuu. Nawapa big up sana watu wa Arachuga.Mkeshaji; Unajua shida ni kwamba member hawataki kujuana na ndiyo shida moja hiyo inawagharimu member wengi. Karibu ni hapa A town tunajuana mpaka member wanakoishi.

Nipo hapa uwanjani lakini nimeshtuka kuona uwanja mweupe, hii inaonyesha wagogo hawana amsha amsha
kuna dalili ya mkutano kuanza!
Nashukuru kwa nia zenu njema,nimefika salama wakuu!nasikitika kutojumuika nanyi huko dom!makamanda mlioko huko tafadhali hudhurien mtupe updates unless otherwise mtujuze pia!kila la kheri!
bado sana, kwa hii hali nafikiri saa kumi tofaut na saa saba iliyotangazwa!