Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Kwa nini CHADEMA Lazima impandishe ZITTO jukwaani kila inapoenda?

anakubalika sana,ameshangiliwa sana alipopanda jukwaani,yupo ndani ya mioyo ya watz.

Anaandaliwa kuwa rais. Ni rahisi kuamua kumweka zitto agombee urais kwani CDM hakuna mroho wa madaraka pia CDM wanaangalia calender na saa.

kwa vile chadema inajua impact ya zitto kupanda jukwaa.


ASANTENI SANA KWA MAONI MAZURI, lakini sababu kuu bado hamjaisema!
 
ni kweli kabisa...ni kazi tu ndio inawafanya waishi ivo...hata cdm ikishika dola wataendelea kufatilia mikutano ya wapinzani ccm kama kawaida na kama wanavyofanya hapo jamuhuri...pipooooozzz!!!

Ukiona watu wanafuatilia sana mikutano ya kisiasa ujue kuwa hali ya kiamaisha ni hoi bin taabani!! Ndiyo maana huwa nawashangaa watu wanaobisha kuwa enzi za Mkapa maisha yalikuwa nafuu kuliko sasa.
 

Wewe mpemba mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini?
 
Kama Dodoma wameelewa nina hakika hata Lindi,Mtwara,Singida na Pwani nao wataelewa siku si nyingi. Kwa hili 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ni muhimu sana kuelekea uchaguzi mkuu kuna maajabu yatatokea. Nawaomba viongozi wa CDM wasiudharau huu uchaguzi maana CCM ndiyo inaoutumia kujenga nguvu kwenye source ya ushindi.
 

sasa kama wewe sio gamba kwanini zito anakupa presha? Hao makamanda wengine huwaoni?
 
Maandamano ni ya kupinga au kutaka nini? Naona mnasema Mbowe ametangaza maandamano but sioni mahali mnapoeleza ni maandamano ya nini. Tafadhari tujuzeni.
 
Maandamano ni ya kupinga au kutaka nini? Naona mnasema Mbowe ametangaza maandamano but sioni mahali mnapoeleza ni maandamano ya nini. Tafadhari tujuzeni.

Usikwame,
Ni kwenda mwanza.hope ya machemli na mwenzake unayajua.
 
unajua zitto ni nani cdm? angepanda shibuda mungesema oooh mbona shibuda, nyinyi people bwana!!!!
 
Picha itakuwa vigumu sana kupata mkuu, hapa uwanjani hakuna watu kabisa mkuu, ni aibu, CDM inabidi next time wakija Dom wajipange

Uwezi kupiga mluzi wakati unatafuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…