Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Nashangaa kwa nini CDM wanafanya kazi ya tume, kuhimiza watu waende kujiandikisha ni kazi ya Tume, sisi hapa tumefuata hoja na sera na si kazi za tume ya uchaguzi...Mh. Arfi heshima yako Mzee.
Mbowe anavalishwa na kiongozi wa kimila wa wagogo huku ngoma za asili zikipigwa.