Wahutubie hata maji ya bahari
Mlie tu! Leo tumehutubia mokarafuu!
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!
naona ukamalizia kwakuonesha ulaghai wako. intarahamwe kibandamaiti mnaitwa manyani
Mlie tu! Leo tumehutubia mokarafuu!
Bavicha kazini
Nimecheka sana.MKuu punguza utani bana.
dah! Hii kali. Inamaana watu wakiwanengi kwenye picha inakuwa na uzito zaidi.
sio mzima huyo jamaa atakuwa zuzu tu.
Wahutubie hata maji ya bahari
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!