Updates: Mkutano wa CCM uwanja wa Gombani, Pemba

Updates: Mkutano wa CCM uwanja wa Gombani, Pemba

Attachments

  • 1399157264086.jpg
    1399157264086.jpg
    11 KB · Views: 222
  • 1399157291671.jpg
    1399157291671.jpg
    13 KB · Views: 211
  • 1399157307266.jpg
    1399157307266.jpg
    14 KB · Views: 214
  • 1399157321183.jpg
    1399157321183.jpg
    17.5 KB · Views: 201
  • 1399157342821.jpg
    1399157342821.jpg
    11.9 KB · Views: 199
View attachment 155603

Duh!! hii hapa picha Wapemba wakimshangaa Kinana

Huyu alofatana naye ni vuai? Naibu katibu wa ccm znz? Sasa huyu yeye si ndie akiwa unguja anawambia wapemba warudi kwao..leo kajipeleka huko kufanya nini?
Pale maskani ya kisongo ambapo yeye ndio mlezi kila siku wanandika matusi dhidi ya wapemba ....hana aibu
Wito kwa wapemba hamtakiwi na ccm..wale wachache mnaokishabikia jitambueni hao hawakutakini
 
Nyie ukawa waongo mimi niko pemba tunashuhudia utitili wa watu alafu nyie mpo dar mnasema hakuna watu kweli makafiri nyie
 
Back
Top Bottom