B bia JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 257 Reaction score 31 Jul 31, 2012 #21 nipo iringa mgomo ni zaid ya jana
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,931 Jul 31, 2012 #22 Vijana wa nape hao.. Mue mnaangalia taarifa ya habari itv na star tv ndio mtaujua ukweli
Mtu wa Pwani Platinum Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,192 Reaction score 681 Jul 31, 2012 #23 chezea serikali weee, madaktari wanajipa moyo wataajiriwa kwengine, wanahitajika sana. jee walimu walio wengi hawa wa voda fasta wanaweza kujiamini kama wana soko hilo ?
chezea serikali weee, madaktari wanajipa moyo wataajiriwa kwengine, wanahitajika sana. jee walimu walio wengi hawa wa voda fasta wanaweza kujiamini kama wana soko hilo ?
J Johnson Mdoe Mchaina R I P Joined Dec 1, 2011 Posts 138 Reaction score 23 Jul 31, 2012 #24 Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Kinyamagala Senior Member Joined Oct 13, 2011 Posts 154 Reaction score 29 Jul 31, 2012 #25 hata hivyo nimejifunza jambo,walimu wa sekondari ni waoga sana kuliko wa Primary