Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

Yule mwanamke aliyetimkia chadema kwa jina anaitwa esther Bulaya jana alikutana na hasira za wanachadema wa wilaya ya bunda baada ya kumpiga bao za kutosha kwenye mechi iliyomalizika jana usiku.

Bulaya aliambulia kura 37 tu wakati waliomtangulia wakikusanya kura 61 kwa msindi wa kwanza na 40 kwa mshindi wa pili.

Hili ni fundisho kwa wenye vihelehele kama bulaya kwa kudhani kwamba anapendwa sana chadema kumbe anayempenda ni halima mdee peke yake wala siyo chadema wote.

Tumpe pole kijana mwenzetu siasa ndiyo ilivyo inaweza kukudanganya ukadhani uko vizuri kumbe wa kawaida sana pole bulaya bao mbili bila ni nyingi sijui mdee na uongo wa chadema taifa watakusaidia vipi pengine wakutolee dirishani japo sijui kama wanabunda watakubali uminga huo.

daaaa pole sana bulaya R.I.P
 
Wadau, hii ni dhahiri sasa kuwa wana CHADEMA wameanza kuzinduka usingizini baada ya kudungwa sindano ya usingizi na Freeman Mbowe alipoamua kumchukua Lowasa baada ya kushikishwa kitita cha Bilioni 10.

Uchaguzi wa kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya Ubunge katika jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya CHADEMA umemalizika. Matokeo yanaonesha mgawanyiko mkubwa uliojitokeza huku kapi la CCM, Esther Bulaya akiambulia nafasi ya tatu.

MATOKEO KAMILI YA UCHAGUZI

PIUS. Kura 61
MAGEMBE Kura 40
BULAYA Kura 37
Frank, kura 35
Maganja Kura 5
Jane Kura 0
Chacha kura 0

Kwa matokeo haya, ni dhahiri kwamba Bulaya kaangukia pua na wana Bunda wamemkataa dhahiri. Hata hivyo, viongozi wa CHADEMA wamepanga kumpitisha kwa nguvu ili awe mgombea Ubunge jimbo la Bunda. Kwa kufanya hivyo ni chereko kwa CCM kwani wana Bunda walishatamka bayana kuwa hawatampa kura huyo kapi wa CCM. Safari ya Matumaini inaendelea
 
Yule mwanamke aliyetimkia chadema kwa jina anaitwa esther Bulaya jana alikutana na hasira za wanachadema wa wilaya ya bunda baada ya kumpiga bao za kutosha kwenye mechi iliyomalizika jana usiku.

Bulaya aliambulia kura 37 tu wakati waliomtangulia wakikusanya kura 61 kwa msindi wa kwanza na 40 kwa mshindi wa pili.

Hili ni fundisho kwa wenye vihelehele kama bulaya kwa kudhani kwamba anapendwa sana chadema kumbe anayempenda ni halima mdee peke yake wala siyo chadema wote.

Tumpe pole kijana mwenzetu siasa ndiyo ilivyo inaweza kukudanganya ukadhani uko vizuri kumbe wa kawaida sana pole bulaya bao mbili bila ni nyingi sijui mdee na uongo wa chadema taifa watakusaidia vipi pengine wakutolee dirishani japo sijui kama wanabunda watakubali uminga huo.
Wacha utapeli Bulaya kashinda viti maalumu Bunda.intarahamwe wewe.

swissme
 
Akome ccm waligawa jimbo makusudi ili yeye na wasira wasigombane yeye kalewa sifa. Ndo maana huwa nasema vijana kwa uongozi bado, wanamihemko mno mawa yao hayajatulia. Ndo kashapotea kisiasa tayari.
 
safari hii utahangaika sana...chadema kuna demokrasia na hiyo ndio demokrasia...nani alikuwambia anapita bila kupingwa..mbona unahangaika...vipi apson anampango gani kwa sasa?.....safari hii mtaisoma namba T 2015 UKAWA
 
rais lowasa atamteua kuwa mbuge na kumpa,uwaziri wa mambo ya nchi na ushirikiano wa kimataifa ,hapo wana bunda watakuwa wamepigwa bao wao
 
Yule mwanamke aliyetimkia chadema kwa jina anaitwa esther Bulaya jana alikutana na hasira za wanachadema wa wilaya ya bunda baada ya kumpiga bao za kutosha kwenye mechi iliyomalizika jana usiku.

Bulaya aliambulia kura 37 tu wakati waliomtangulia wakikusanya kura 61 kwa msindi wa kwanza na 40 kwa mshindi wa pili.

Hili ni fundisho kwa wenye vihelehele kama bulaya kwa kudhani kwamba anapendwa sana chadema kumbe anayempenda ni halima mdee peke yake wala siyo chadema wote.

Tumpe pole kijana mwenzetu siasa ndiyo ilivyo inaweza kukudanganya ukadhani uko vizuri kumbe wa kawaida sana pole bulaya bao mbili bila ni nyingi sijui mdee na uongo wa chadema taifa watakusaidia vipi pengine wakutolee dirishani japo sijui kama wanabunda watakubali uminga huo.

Acha porojo Bulaya lazima aingie bungeni
 
Wadau, hii ni dhahiri sasa kuwa wana CHADEMA wameanza kuzinduka usingizini baada ya kudungwa sindano ya usingizi na Freeman Mbowe alipoamua kumchukua Lowasa baada ya kushikishwa kitita cha Bilioni 10.

Una ushahidi?
Ukiitwa utoe ushahidi utatoa?
 
Yule mwanamke aliyetimkia chadema kwa jina anaitwa esther Bulaya jana alikutana na hasira za wanachadema wa wilaya ya bunda baada ya kumpiga bao za kutosha kwenye mechi iliyomalizika jana usiku.

Bulaya aliambulia kura 37 tu wakati waliomtangulia wakikusanya kura 61 kwa msindi wa kwanza na 40 kwa mshindi wa pili.

Hili ni fundisho kwa wenye vihelehele kama bulaya kwa kudhani kwamba anapendwa sana chadema kumbe anayempenda ni halima mdee peke yake wala siyo chadema wote.

Tumpe pole kijana mwenzetu siasa ndiyo ilivyo inaweza kukudanganya ukadhani uko vizuri kumbe wa kawaida sana pole bulaya bao mbili bila ni nyingi sijui mdee na uongo wa chadema taifa watakusaidia vipi pengine wakutolee dirishani japo sijui kama wanabunda watakubali uminga huo.

Jitu zima kuwa jiongo ni aibu. Buulaya kapeta viti maalumu hivyo mjengoni kama kawaida
 
Back
Top Bottom