Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

Mkuu molemo Boniface Mwabukusi ni mgombea jimbo la RUNGWE MASHARIKI na si RUNGWE MAGHARIBI kama ulivyoweka kwani wa Rungwe magharibi ni John Mwambigija{mzee wa upako} ko fanya marekebisho hapo juu.
 
Mkuu molemo Boniface Mwabukusi ni mgombea jimbo la RUNGWE MASHARIKI na si RUNGWE MAGHARIBI kama ulivyoweka kwani wa Rungwe magharibi ni John Mwambigija{mzee wa upako} ko fanya marekebisho hapo juu.

Rungwe mashariki now inaitwa busokelo.
 
Hivi hakuna habari za CCM tena, naona kama wanazidi kufa CCM au wamehamia kumlinda Lowasa asitoke wamesahau wenzao wanaendelea na kishindo mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom