Mbona unasema wamepoteza jimbo kana kwamba matokeo ya uchaguzi yamesahatangazwa wakati hata uchaguzi haujafanyika? Nigoli la mkono au nini?
Joyce mukya kitu ya mkiti lazima spite tulijua mama freelady atapita Tu kweli tembea na mkiti ile mafao ya chadema
Mkuu molemo Boniface Mwabukusi ni mgombea jimbo la RUNGWE MASHARIKI na si RUNGWE MAGHARIBI kama ulivyoweka kwani wa Rungwe magharibi ni John Mwambigija{mzee wa upako} ko fanya marekebisho hapo juu.
Lema ni rais wa arusha,Anasitahili kupita bila kupigwa
Ningeshangaa sana kama Lema asingeshinda.. Lema na Mmiliki wa Chadema mzee Mtei wanatoka kijiji kimoja
Ningeshangaa sana kama Lema asingeshinda.. Lema na Mmiliki wa Chadema mzee Mtei wanatoka kijiji kimoja