Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

Nini tatizo ktk hili? Shule au nini ?
Kwanini watu hawaelewi lugha sahihi?

Tatizo la mfumo wa elimu yetu, wale wanaopata division 4 na three za mwisho ndiyo wanapelekwa kusoma ualimu, unategemea mwalimu wa aina hii atatoa wanafunzi aina gani. Mbona universities wale wanaofanya vizuri ndiyo wanabaki kufundisha? Walimu walioko mashuleni kwa sasa, hasa shule za msingi ni shida kweli.
 
wapiga kura za maoni ni kama darasa moja du!

Huku hawanunui wanachama mkubwa ni kujiunga kwa hiari wala hakuna Rushwa
Nilikuwa vijijini kura za maoni CCM kila mgombea anakuja na kadi 3000 kuwatafuta wanachama wa kupiga kura na hela juu ila baada ya uchaguzi wanazitupa. Rushwa ndani ya CCM ni utamaduni.
 
Kura za ccm zinaonekana nyingi kwa sababu mamluki wengi wapo ccm hrf ccm fitna nyingi kama kura nyingi zinakuwa zimeshapigwa hrf kad za ccm rahis kuzipata kuliko za chase a
 
Kura za Maoni zimekamilika. Kamanda Alistides aliibuka mshindi kwa kura nyingi ikiwa ni pamoja na kura za Kamati Tendaji ya Jimbo. Ni matarajio yetu kuwa Kamati Kuu itaturudishia jina la Alistides Kashasira. Kimkakati na Kimazingira Kamanda Kashasira anaenda kumgalagaza Mama Tibaijuka asubuuuuuuhi na mapema....

MULEBA KUSINI TWENDA NA ALISTIDES KASHASIRA
 
Watu wa Muleba kusini wa sasa sio maana nasikia mama anawapikia ubwabwa na ng'ombe na disco la focus pamoja na vijikanga wao roho kwatu. Alistides kwa akili ya watu wa Muleba na chuki zao ana kazi sana.
 
weka picha tumfahamu

MULEBA KUSINI TWENDA NA ALISTIDES KASHASIRA
weka picha tumjue na kumfahamu.
 
Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole

CDM ni viongozi pekee ndio wanapiga kura, sio kila mwanachama !

Nilitaka kumjibu nikaliona jibu lako, lakini niongezee kidogo. Anatakiwa ajue hata CCM walikua hawatumii utaratibu huu waliotumia sasa, na hata hivyo hata hao waliopiga kura za maoni kwa CCM si wapiga kura wote katika jimbo husika ingawa lengo ni hilo (kwa wanachama wa CCM), ila wamepanua wigo zaidi ukilinganisha na 2010 na hata hiyo 2010 iliboreshwa zaidi ukilinganisha na huko miaka ya nyuma.
 
Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole

Kwa mujibu wa Kanuni za Kura za Maoni CDM, wanani wenye haki ya kupiga kura hizo?

Ni wanachama wa CDM ambao ni wajumbe wa vikao vya chama. Hata CCM miaka ya nyuma walikua wanatumia utaratibu huu wakaubadili 2010 na kufika kwa wajumbe katika ngazi za chini zaidi, na sasa 2015 wameboresha zaidi kwa kuhusisha wanachama wote. Ni bora kama jambo mtu halijui akauliza kuliko jinsi watu wanavyochukulia.
 
twende na huyu au?
10933768_879409842091187_1951949041384063683_n.jpg
 
Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole

Hivi kwa kuwa mmeaminishwa kuwa CDM ni wachagga ndio maana umeandika haya.

Nani kakwambia kuwa Mnyika ni Mchaga?

Mbuzi wee.
 
Watu wa Muleba kusini wa sasa sio maana nasikia mama anawapikia ubwabwa na ng'ombe na disco la focus pamoja na vijikanga wao roho kwatu. Alistides kwa akili ya watu wa Muleba na chuki zao ana kazi sana.

Mkuu mambo yamebadilika sana. Mama hapendwi kama unavyofikiria. Na sasa vijana ndio mtaji wetu. Kwa bahati nzuri wanatoka kijiji kimoja na Tibaijuka. Lazima Tibaijuka aombe poo.....Kashasira yuko vizuri mno. WanaMuleba wako tayari kwa mabadiriko
 
wanajamvi naomba kujua kutoka kwenu, hivi JJ mnyika alishinda kura za maoni?
hata hivyo naona jimbo lake kama vile aliyeshinda ni Saidi kubenea, je?, atakuwa jibo ngani tena.
ansante.
 
Jimbo la Ubungo limegawanywa na kuwa na mawili..... Mnyika kashinda jimbo la Kibamba na Kubebea kashinda jimbo la Ubungo!!!!
 
Back
Top Bottom