Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

Safi sana kamanda wetu. Kibamba inahitaji utumishi uliotukuka na si mizengwe na fitna. Hapo ni kazi kwa kwenda mbele.
 
BREAKING NEWS
John Mnyika ASHINDA KURA ZA MAONI KWA KUPATA JUMLA YA KURA 63 KATI YA KURA 81 SAWA NA ASILIMIA 76 wagombea walikuwa 8.
JIMBO JIPYA LA KIBAMBA MUDA HUU SAA 23:52

JOSEPH MSHINGA
Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole
 
CDM ni viongozi pekee ndio wanapiga kura, sio kila mwanachama !

Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole
 
Du! Hilo jimbo sindiko wachaga wamejazana? Imekuwaje wapiga kura jimbo zima wawe 81? Hii hali siamini kama itakuwa na afya sana.
Tayari naliona Anguko la Mnyika.
Ndio maana aligoma kwenda jimbo jipya na kumtaka kubenea ndio aende kule. It seems alilazimishwa.Mnyika pole

Mkuu.. Uliza kwanza utaratibu unaotumika CDM kupiga kura za maoni. Pia kimya ni njia muafaka ya kuficha chuki na hasa ujinga.
 
Back
Top Bottom