Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Yule kijana mtoto wa mchungaji Mwizarubi aliyekua anagombea kupitishwa kua mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm mjini Arusha ametupwa mbali kwenye kura na kuishia kujiaribia reputation yake na kanisa la baba yake. Kapata kura 2,1,45, na 9 kwenye baadhi ya kata. Hii ni aibu sana. Huyu jamaa yani kajiibisha sana. ImageUploadedByJamiiForums1438447267.421129.jpg ImageUploadedByJamiiForums1438447281.770101.jpg ImageUploadedByJamiiForums1438447297.054275.jpg ImageUploadedByJamiiForums1438447313.152412.jpg
 
Kwann unasema kajiaibisha? Kwani kupata idadi ndogo ya kura ni ajabu? Labda hakutoa rushwa. Maana rushwa imetawala kwa magamba. Au baba yake mchungaji alimhakikishia muujiza wa ushindi?
 
Matokeo ya kura za maoni jimbo kuu la kibakwe mpaka sasa yamepatikana katika kata saba , zote Eng. Mwikola amemgalagaza Mh Simbachawene kwa kura nyingi mno, Eng ameshinda kwa fujo sehemu zote ambapo matokeo yametangazwa mfano WOTTA, WANGI, KIBAKWE ZOTE MBILI CENTER NA JUU, WINZA

Mpaka mshindi ni ENG Mwikola akifuata kwa mbali Simbachawene,

Duuh gasi ataickia kwa ukawa
 
Sarakasi zainaanza, madokta wawetayari kupokea waliopasuliwa, hiyo ndio ccm bila ya rushwa na wizi haichaguliki.

"Most of Tanzanian leader in government are hopeless and useless."

This sentence is wrong,it should run like;
"Most of Tanzanian leaders are hopeless and useless"
 
Mheshimiwa mbunge aliyemaliza muda wake jimbo LA musoma vijijini kabla halijagawanyika Nimrod mkono
Hali yake si njema katika kura za maoni zilizopigwa Leo nchi Nzima.
 
Jerry Slaa aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la ukonga ktk matokeo ya kura za maoni jimboni ukonga ameshindwa ktk kula za maoni ukonga kwa kura zaidi ya 4,000 na mpinzania wake mwenye asili ya kiasia aliyepata kura 5139 na jerry kupata 1034
 
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, anaongoza katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Habari kutoka jimboni humo zinasema Nyalandu ambaye pia ni waziri wa maliasili na utalii, anaongoza katika vituo vya kata zote huku akiwaacha mbali wapinzani wake.

Update:

Katika kata ya Ilongero.
Nyalandu 667
Mpombo 88
Monko 60

Kata ya Maghojoa:
Nyalandu 743
Monko 72
Mpombo 26
Aron 16
Mungwe 15

Kata ya Mrama:
Nyalandu 744
Monko 125
Mpombo 138
Sabasaba 50
Mungwe 19

Kata ya Mughamo.
Nyalandu 156
Monko 712
Sabasaba 40
Mungwe 23
Mpombo 16

Kata ya Mwasauya:
Nyalandu 1360
Monko 146
Mpombo 65

Kata ya Ikhanoda:
Nyalandu 1146
Monko 158
Mpombo 158
Mungwe 108
Sabasaba 34

Kata ya Itaja:
Nyalandu 469
Monko 177
Sintoo 77
Mpombo 35
Sabasaba 25
 
Back
Top Bottom