Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

mwambieni tibaijuka asijisumbue coz akipita kura za maon ukawa tutamiliki jimbo saa asubuh, eti na issa samma anagombea jimbo la ngara vs gashaza, yetu macho but be care record inaelekea kuvunjwa kwa mara ya kwanza ngara kuongozwa na upinzani

Kura siku hizi zinahesabiwa asubuhi?
 
Leo itakuwa mwanzo au mwisho wa historia ya Juliana Shonza na Mtela mwampamba ndani ya CCM. Vijana hawa walivamia chama chetu kwa pupa na kuwa karibu na viongozi wa juu wa chama kama wapiga propaganda lakini leo ndio mwanzo au mwisho wa safari yao ndani ya CCM. Unajua kwanini nasema hivyo?

1, Vijana wanawania kupeperusha bendara ya CCM katika nafasi za Udiwani, Hivyo wakishinda utakuwa mwanzo mzuri wa kujipenyeza ndani ya CCM na wakishindwa kwenye kura za maoni bhasi huo nao utakuwa mwisho wao ndani ya siasa za ccm

2. Vijana hawa walikuwa wanapewa shavu na kushikwa mkono na vigogo wa chama wa juu ambao nao hao vigogo wapo katika mchakato wa kura za maoni hivyo vigogo hao wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm itakuwa ahueni kwa Mtela na Juliana lakini ikitokea vigogo hao wataangshwa kwenye kura za maoni za ubunge basi Mtela mwampamba na Juliana shonza watasahaulika kabisa katika siasa za ccm.

Ndugu wana JF tuwaombee makada hawa wa ccm wasipatwe na dhoruba la kisiasa katika mchakato wa kura za maoni leo hii
 
Na lini wewe ukaandika thread za kuiombea ccm mema kama si unafiki na propaganda za kitoto hizo?
 
Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge ccm hapa tarine limeahirishwa hadi jumatatu,hii ni baada ya masanduku kadhaa yenye kura za mbunge aliyemaliza muda wake nyambari nyangwine kukamatwa ktk maeneo tofauti tofauti hapa tarime.huyu nyanwine amekinukisha ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
 
Wakuu habari, leo ndio leo, ccm nchi nzima wanafanya kura za maoni ya kuwapitisha wagombea wake, ili waweze kupeperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu, kila mmoja hapo alipo ataweza kutupa matokeo ya jimboni kwake, ili tujue vigogo gani wamekatwa na nani ameingia na nani ametoka, mie nipo mkuranga hapa jimbo la adam malima, nitawapa matokeo, bado kura zinapigwa.
 
Tarime Vijijini Nyambari Nyangwine amekinukisha.Zoezi limeahirishwa hadi Jumatatu baada ya masunduku mengi sana kukamatwa ktk maeneo tofauti tofauti hapa Tarime.

Ndani yake kulikuwa na kura za mbunge anayemaliza muda wake Nyambari Nyangwine.

Huyu jamaa ana kazi ya ziada ili apate ushindi kwa vile wananchi hawamtaki maana hajawafanyia lolote miaka 5 iliyopita
.
 
Malima akiangukia pua tutashukuru kwani amekukwa bigwa.wa kutetea maovu pale mjengoni na kuwabeza wapinzani.
 
Back
Top Bottom