Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Udini tena ...!!!!!!!!!!!!!!!hakuna atakayeiona pepo eti kwa kuwa huyu ni mkristo au mwislamu.....ni bora hata marasta farai waweza mwona mungu maana wao(sisi) wanahubiri upendo kwa wote, mimi na mtu mwenye kuingiza dini kwenye hoja za kisisa,jamii sijui namwona vp; Note, si marasta uchwara wafanyao urast ni ubishoo na fashionKwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Kwa hiyo hao wanaopigana kumuondoa Morsi ni waKristo? bongolala???????????????Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Sons of Allah are now fighting for peace. What a loving Allah.
una maana morsi ni hardliner..?ujue huyo alipata elimu marekani na inawezekana aliandaliwa atawale kama kibaraka wao.muslim brotherhood yasemekana iliundwa na waingereza miaka ya 60.
Muslimu hardliner wa ukweli kule misri ni salafi na sio muslim brotherhood.mataifa ya magharibi yako kimya sababu mtu wao kapigwa chini.
Yerewiiiii
Kwa hiyo hao wanaopigana kumuondoa Morsi ni waKristo? bongolala???????????????
Morsi hafai ...ni mdini kuliko shehe ponda
Sons of Allah are now fighting for peace. What a loving Allah.