Waungwana si vibaya kama tukijuzana kuhusu Maendeleo ya Mtanzania Mwenzetu na Kiongozi wetu , mwenye habari yoyote kuhusu Kamanda wetu ni bora akatujulisha , labda tunaweza kutabasamu , Mungu amjaalie afya njema .

Nenda pale Central police kwa kova, ukiingia tu mlango mkubwa/kwenye ngazi kabla ujafika counter chumba za kwanza tokea counter.... kuna habar zote pale.

Kitu chenye ncha kali kimemlalia tunashindwa kukitoa kujua anavyoendelea. Uzuri ni kwamba ametii sheria za hospitali bira shuruti so hatuna wasiwasi wa yeye kuresiti ini pisi