Updates kutoka Uwanja wa Mara Sec, Mkutano wa kufunga kampeni CHADEMA

Updates kutoka Uwanja wa Mara Sec, Mkutano wa kufunga kampeni CHADEMA

Voice of Mara

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
358
Reaction score
127
picha mbali mbali ya mkutano wa kufunga kampeni Chadema Musoma mjini muda huu katika viwanja vya Mara sec!!!
attachment.php
 
Attachments

  • 1445691908000.jpg
    1445691908000.jpg
    71.7 KB · Views: 3,276
Vizuri sana yaani twawapiga kila sehemu
 
Nimemkubali last time alikuwa mbunge wa Kwanza kutangazwa mshindi na tume.

Hope this year atatangazwa tena wa kwanza.
 
Kweli nimekubali. Mara wanataka MABADILIKOOOOOoooooOOOO. Mura wane Vicent Ukorere mbuya mbane. VIFAAAA Nyerere wane. Yanyoose hayo mapumbafu yanasani sisi wakira tuna sida nayo. Tatiga msani. Ongeraaaa saana
 
Kazi njema hii, wali wa kushiba huonekana kwenye sahani.
 
Vicent akorere bhwahene!
Kweli nimekubali. Mara wanataka MABADILIKOOOOOoooooOOOO. Mura wane Vicent Ukorere mbuya mbane. VIFAAAA Nyerere wane. Yanyoose hayo mapumbafu yanasani sisi wakira tuna sida nayo. Tatiga msani. Ongeraaaa saana
 
Huyu kamanda huyu 2010 alikuwa mbunge wa kwanza kutangazwa mshindi nakumbuka ilikuwa alfajiri
Lakini sa hivi ni kama hashindani na mtu yuko peke yake hivi
 
Back
Top Bottom