Updates kutoka Sahara - Mwanza mkutano wa CHADEMA

Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Hawa wanaenda kwa hiari yao hawabebwi na malori kutoka vijijini
 
Chama cha demokrasia na maendeleo kitanguruma Leo jiji mwanza, makamanda wataongozwa na dr slaa, lema, kilewo, mawazo, tabasamu, tiziba, pamoja na viongozi mbalimbali Wa jiji la mwanza. Kabla ya hapo Kamanda lema, kilewo,mawazo watakuwa kwenye mkutano Wa kisesa kufungua ofisi ya kata pamoja na kuwakaribisha wanachama wapya. Mungu awabariki makamanda wetu, nitawaletea Yale yote yayakayo kuwa yanajiri kwenye mikutano hii.

Godbless Lema atawamaliza hao Magamba, hasira zake zota kahamishia katika kuvunja ngome za sisiem, na anazivunja vyema!
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

HUO UTAHHRA WAKO WAKIMAGAMBA UTAKUPELEKA PABAYA ACHA WAPENDA MABADILIKO WAPEWE UJUMBE WA NINI CHAKUFANYA**a**s**s*hole.
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

we f.a.r.a nini? wewe ndo ulishachoka kupandwa nyuma
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Punguza hasira, ni mikutano ya kuchimba kaburi la ccm. Utaona faida yake muda si mrefu. Stay tuned .....
 
Mbona hamtuambii kuhusu wadiwani wanne ambao walisemekana wanakuja chadema jana hatujui nini kinaendelea tuambieni iwapo walikuja au la mbona mnatoa taarifa za kurukaruka jamani!

Kaulize Makao Makuu ofisi ziko wazi siku zote tano za kazi utajibiwa hata na mfagizi haimaanishi mpaka hilo ujibiwe hapa
 
Ndugu unafikiria kwa ubongo huu ninaoujua mimi au ubongo mwingine?Ukombozi wa taifa si lelemama unakuja kwa gharama kubwa ikiwemo wanaharakati kupoteza maisha yao kutokana na mfumo tawala unaoweweseka na kutumia kila njia kujinusuru ikiwema kuua watu kama ilivyotokea Arusha.Huo muda watakaoutumia kwa ajili ya maendeleo ni kazi bure kama CHAMA CHA MAFISADI kimekwishavuruga mfumo mzima wa kiuchumi.Ili uende peponi ni lazima ujitoe kafara ikibidi kufa SEUZE muda wa kazi ambao hata hivyo huwa tunaupoteza kwa starehe mbalimbali!Tunisia na Misri waliandamana zaidi ya mwezi mzima ili kuuondoa madarakani mfumo kandamizi na wa kifisadi na matunda ya harakati hizo yameanza kuonekana.Tafakari upya maneno yako!
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
MMMMhhhh! Wewe ni gamba tena lisilokuwa na huruma na ndugu zako
 
Back
Top Bottom