Updates kutoka Sahara - Mwanza mkutano wa CHADEMA

Georgemotika

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
20
Reaction score
12
Chama cha demokrasia na maendeleo kitanguruma Leo jiji mwanza, makamanda wataongozwa na dr slaa, lema, kilewo, mawazo, tabasamu, tiziba, pamoja na viongozi mbalimbali Wa jiji la mwanza. Kabla ya hapo Kamanda lema, kilewo,mawazo watakuwa kwenye mkutano Wa kisesa kufungua ofisi ya kata pamoja na kuwakaribisha wanachama wapya. Mungu awabariki makamanda wetu, nitawaletea Yale yote yayakayo kuwa yanajiri kwenye mikutano hii.
 
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
 
Mwanza sehemu gani shughuli hyo itakako fanyikia
 
Kwa upande wa mwanza cdm kinakubalika tena sana sijui hawa makamanda wanampango gani na shm ambazo hata ofisi hawana na wanatakiwa kuwepo ili kupata mbadala wa huyu nduli ccm anaesimamisha walafi wa madara
 
Mkitudanganya kama jana mlaaniwe!!

Haiwezekani tusubiri updates bila mafanikio!!
 
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi
Wewe ni ccmagamba? Mbona hujiulizi kila kukicha wizi tu wa mali ya umma unaofanywa na serikali hii ya ccm? hivi ccm mnatupeleka wapi? CCM@UFISADI.COM au vipi?
 
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi

Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Mkitudanganya kama jana mlaaniwe!!

Haiwezekani tusubiri updates bila mafanikio!!
Si mkasubiri mkutano wa Nape pale Lumumba kama vipi, kwa nini mhangaike na mikutano ya wenzenu???
 
M4C komaeni na kanda ya ziwa.
Kazi tunaiona...
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Tumeshawashika pabaya, Mnataka watanzania walale ile hali nyinyi mkiendelea kutafuna Rasilimali zao.. hata tandahimba walihangaika sana korosho mwishowe zikaingia mikononi mweni hadi leo hamtaki kuwapa.
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Mambo ya CDM yanawawashia nini nyie maruhani wa JK?
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

"Ni upepo tu, utapita! by jk" teh teh teh
 
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi

Wewe unataka kila kukicha iweje? Mbona hushangai kila kukicha ufisadi? Mbona hushangai kila kukicha gharama ya maisha inapganda nk? Ukishangaa ya musa.....................!
 
peoplesssss kamua mikutano mingi hata usiku kucha. NANUKUU MSEMO WA LEMA,HAKUNA DHAMBI KUBWA DUNIANI KAMA UWOGA, NA HATA SIKU MOJA HAKUNA UWONGO ULISHAWAHI KUSHINDA UKWELI. kwa hiyo acha CDM wafanye mikutano usiku na mchana at ikiwezekana tufanye maandamano usiku na night
 
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi

kukutana kwao hakuwazuii kuendesha nchi, naona kama ile furaha ya jk kutangazwa mshindi inaanza kutumbukia nyongo vile!
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

We people!we differ
 
Back
Top Bottom